• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UHAKIKI ANUANI ZA MAKAZI KUANZA MEI 28 DODOMA

Imetumwa : May 26th, 2025

Na Sizah Kangalawe

Habari- DodomaRS

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanasimamia kwa ukamilifu zoezi la uhakiki wa taarifa za  anuani za makazi, linalotarajia kuanza Mei 28/ 2025 katika Halmashauri za Mkoa wa Dodoma.

Mmuya amesema hayo wakati wa uzinduzi wa zoezi la Uhakiki wa Taarifa hizo Mei 26/2025, Katika ukumbi wa Mikutano wa Four point Hotel Jijini Dodoma, uliowahusisha watendaji kata, wenyeviti wa Serikali za mitaa na vijiji na Maafisa  Tarafa.

‘’Wakurugenzi wote, hakikisheni mnasimamia zoezi hili katika halmashauri zenu huku mkitambua kuwa ni zoezi endelevu hivyo sitegemei kusikia mmeacha kuhuisha taarifa baada ya siku za zoezi hili kumalizika.

‘’Vilevile hakikisheni mnatumia Mfumo wa anuani za makazi kutambua  makazi na wakazi katika maeneo yenu ili kuongeza ufanisi katika kusimamia mazoezi mbalimbali ya kitaifa na kupanga mipango ya maendeleo’’, Amesema Mmuya

Akitoa salamu za Jiji la Dodoma Meya wa jiji hilo Prof. Davis Mwamfupe amesema Jiji hilo limejitanabaisha kuwa Jiji nadhifu na litakalokuwa mfano kwa kutoa huduma bora.

‘’Uhakiki huu tunaokwenda kuufanya unakwenda sambamba na ukweli kwamba Dodoma tumejitanabaisha kwamba ni mji nadhifu , sio kwa maana ya usafi tu lakini ‘Smart City’  ambayo sasa utoaji wa huduma lazima uwe katika  kiwango cha juu’’ ameweka bayana Prof. Mwamfupe

Baada ya uzinduzi wa zoezi hilo kutafanyika mafunzo ya siku mbili kwa viongozi wa Serikali za mitaa na kata ya kuwawezesha kufanya zoezi hilo katika ubora unaotakiwa na zoezi la uhakiki litafanyika kwa siku 12 kuanzia tarehe 28/05/2025.

Zoezi la uhakiki wa anuani za Makazi, linafanyika  chini ya uratibu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kushirikiana na wataalamu wa ngazi ya Mkoa na Wilaya.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MMUYA AHIMIZA UDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

    May 26, 2025
  • UHAKIKI ANUANI ZA MAKAZI KUANZA MEI 28 DODOMA

    May 26, 2025
  • WAWEKEZAJI WA VIWANDA KUTOKA DUBAI WABISHA HODI DODOMA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI KUTOKA TUME YA MADINI WAMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.