• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UTEKELEZAJI WA SOMO LA KINGEREZA KWA SHULE ZA MSINGI BORA WASHIKA HATAMU CHEMBA

Imetumwa : November 20th, 2023

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewaagiza  Wataalamu waliopata  Mafunzo ya Programu ya   kusimamia na kutekeleza Muhtasari wa somo la Kingereza kwa Shule za Msingi Bora  kulingana  na  Mtaala wa Elimu ya Msingi 2023. 

Agizo hilo limetolewa Leo Novemba 20,2023 na Kaimu Mkurungezi Idara ya Usimamizi wa Elimu Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bi. Suzan Nussu wakati akifungua mafunzo  ya siku tano kwa Walimu 100 wa  Halmashauri ya Chemba wanaofundisha somo la Kiingereza ili wapate umahiri wa kufundisha Mtaala mpya , katika Ukumbi wa Mikutano Jengo la Kondoa  Irangi Wilayani Kondoa. 

Lengo la mafunzo hayo ni kujadili mabadiliko yaliyotokea katika mtaala wa Elimu Msingi 2023 ,Kubaini mabadiliko ambayo yamefanyika katika Muhtasari wa somo la Kingereza , kufanya mjadala wa pamoja wa kuona namna ya ufundishaji  wa somo la Kingereza unavyofanyika Mashuleni na kufanya majumuisho  pamoja na kuandaa Mpango kazi kwa namna gani wataazimia kwenda kutekeleza somo la Kingereza. Pia kukuza kiwango cha ufaulu wa somo la Kiingereza nchini.

" TAMISEMI imeagiza kwamba kuhakikisha Shule zote zilizopata nafasi za kujengewa uwezo zinafanya vizuri,matarajio yetu kwenye utekelezaji huu kuanzia January mwakani tuone mchaka mchaka .

"Matarajio ya serikali ni kuona watoto wanamudu stadi za kuzungumza ili wanapofika kwenye madarasa ya kupimwa na mithani waweze kupita vizuri na kuendelea na masomo ya Sekondari ".ameeleza Bi.Nussu 

Naye, Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni Afisa Elimu Mkoa huo Mwl.Vicent Kayombo amesema   mafunzo hayo yanajumuisha wataalamu wa ndani ya Mkoa huo hivyo  amemhakikishia Kaimu Mkurungezi wa Idara ya Usimamizi wa Elimu TAMISEMI utekelezaji uliotukuka na kama  Mkoa umejipanga kutimiza dhamira ya serikali ya kuresha na kutoa Elimu bora.













ReplyForward






Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.