• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIFAA VYA UJENZI VINUNULIWE KWA WAKATI - RC SENYAMULE

Imetumwa : January 8th, 2025

Na Sofia Remmi

Habari-Dodoma Rs.

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ameyasema hayo wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua Miradi ya ujenzi  katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino tarehe 08 Januari 2025.

Akizungumza na wajumbe alioambatana nao pamoja  na wasimamizi wa miradi hiyo Mhe. Senyamule amesema ni wajibu wa kila Msimamizi na Mhandisi  kuhakikisha vifaa vyote vya  ujenzi vinakuwepo eneo la ujenzi ili kuepuka kusimama kwa ujenzi na kuongezeka kwa gharama kunakoweza kusababishwa na kupanda  kwa gharama  za vifaa.

“Mhe Rais analeta fedha kwa wakati, vifaa vinunuliwe vyote, ujenzi usisimame. Na kila mradi  uwe na mpango kazi wake, kila fundi lazima azingatie hilo maana  mpango kazi ndio kitu kitakachokuongoza katika kazi yako", Amesema Mhe. Senyamule.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja amesema "Kila eneo ambalo limepewa fedha za Miradi kutoka kwa Kiongozi wetu, Rais wetu na sisi kama wasimamizi tutazingatia ubora wa kila jengo na miradi yote tutahakikisha inakamilika ndani  ya muda uliopangwa", amesema Mayanja

Katika ziara hiyo Mhe.  Senyamule amekagua ujenzi wa Shule ya Msingi Majeleko inayogharimu kiasi cha shilingi Milioni 318, mradi ambao upo katika hatua ya kupaua kwa na ujenzi wa shule mpya ya amali inayojengwa katika kijiji cha Nzali kata ya Chilonwa, ambapo hadi kukamilika kwake, utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 1.6, ikijumuisha ujenzi wa Jengo la utawala, Maktaba 01, Madarasa 09, Maabara 02, mabweni 04, vyoo vya Wasichana 04, Vyoo vya wavulana 04, kichomea taka 01 na nyumba 1 ya  mwalimu.


#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI HODARI 2025 KUTOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAPONGEZWA

    May 09, 2025
  • MRADI WA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIFAFA WAZINDULIWA DODOMA

    May 08, 2025
  • UBALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA WAADHIMISHA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA NCHINI

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.