• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANAFUNZI WAHIMIZWA KUENDELEZA VIPAJI WALIVYONAVYO KWAKUWA NI FURSA YA AJIRA

Imetumwa : May 28th, 2025

Na; Happiness E. Chindiye

      Habari - Dodoma RS

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule amewataka wanafunzi wa Shule za Msingi kutoka Halmashauri zote nane za Mkoani hapa ambao wapo katika kambi ya siku saba ya kuandaa timu itakayowakilisha Mkoa kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yatakayofanyika Kitaifa Mkoani Iringa kuendeleza vipaji walivyonavyo kwa kuwa ni fursa ya ajira kwa siku zijazo.

Wito huo umetolewa  Mei 27,2025 wakati akizindua rasmi mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa ambayo yanalenga kuunda timu ya Mkoa itakayowakilisha kwenye mashindano ya Kitaifa yatakayofanyika mkoani Iringa kuanzia Juni 08 mwaka huu.

“ Mkoa wa Dodoma tunasema ni fahari ya Watanzania, tunataka isiwe kwenye elimu peke yake tunataka iwe kwenye mchezo na sekta nyingine zote.Hakikisheni kwa hii wiki moja mnajifunza vizuri ili mkatuwakilishe Kitaifa na mshike namba moja hivyo tumieni hii wiki vizuri Mkoa unatamani kuona matokeo haya,hauendi kwa ajili yako peke yako bali ni kwa Mkoa.

“ Lakini ninyi kama wachezaji vipaji hivyo mkiviendeleza vizuri vinakuja kuwa ajira inakuwa ni faida yenu , ili iwe ajira lazima uonyeshe kipaji chako isiishie kwenye mdomo tu onyesha uwezo wako mkubwa kwa kujitofautisha na wengine “. - Mhe. Senyamule

Kwa upande wake Afisa Michezo wa Mkoa wa Dodoma Bw. Evance Sangawe pamoja na kueleza hali ya kambi hiyo ameainisha michezo mbalimbali itakayoshindaniwa na washiriki hao.

“ Mkoa wetu wa Dodoma tuna programu ya vitalu ambapo kunakuwa na eneo maalum la kuandaa Wanafunzi kwa ajili ya mchezo ili kukuza vipaji huku mchezo ambayo tutashiriki ikiwa ni pamoja na Mpira wa mguu, Mikono, kwaya , na kadharika. ” - Bw. Sangawe

Naye, Fatuma Jonas Mwanafunzi kutoa Shule ya Msingi Lamaiti kutoka Bahi akizungumza kwa niaba ya wenzake  ambao wanashiriki mashindano hayo kutoka katika halmashauri za mkoa wa Dodoma ameeleza namna wanavyojiandaa ili wafanye vizuri katika mashindano ya Kitaifa.

“ Tumejipanga vizuri kuhakikisha tunaenda kuwakilisha Mkoa wa Dodoma kwenye mashindano hayo ya UMITAMSHIMTA mkoani Iringa kwa kurudi na ushindi mkubwa kwani michezo ni mingi hivyo tuna imani tutashinda”

&&&

#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MMUYA AHIMIZA UDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

    May 26, 2025
  • UHAKIKI ANUANI ZA MAKAZI KUANZA MEI 28 DODOMA

    May 26, 2025
  • WAWEKEZAJI WA VIWANDA KUTOKA DUBAI WABISHA HODI DODOMA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI KUTOKA TUME YA MADINI WAMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.