• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANUFAIKA WAFAHAMU ZINAPOTOKA FEDHA ZA TASAF-RC SENYAMULE

Imetumwa : March 10th, 2025

Na. Hellen M. Minja,

       Habari – DODOMA RS


Wasimamizi wa fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini

Nchini (TASAF) Mkoa wa Dodoma, wametakiwa kuhakikisha wanufaika wa Mpango huo wanafahamu kuwa Serikali yao inayoongozwa na Rais, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, ndio inayowezesha kupatikana kwa fedha hizo.


Akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango huo kwa Mkoa wa Dodoma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano uliopo Jengo la Mkapa Jijini humu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema;


“Tunataka walengwa wa TASAF wajue aliyetoa hela ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Rais wake Mhe. Dkt. Samia. Serikali yeyote Duniani ikifanya kazi, inatafuta wananchi wake waipende. Wakiipenda Serikali ndipo wanakua na amani na utulivu wa Nchi yao lakini wakiwa hawajui kilichofanyika na Serikali, ni rahisi kutothamini Serikali yenyewe au Viongozi wake”.


Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za TASAF kwa kipindi cha Julai – Desemba 2024 katika Mkoa wa Dodoma, Mratibu wa TASAF Mkoa, Bi Josephine Pascal amesema;


“Mwaka 2024/2025 Mpango uliidhinishiwa shilingi Bilioni 10.4 na hadi kufikia Desemba, Mkoa umepokea shilingi Bilioni 6.6 sawa na 66%.


Aidha Bi. Josephine ameeleza kuwa TASAF ina kipengele cha utoaji wa ajira za muda kwa Walengwa Maskini kinacholenga kuwajengea ujuzi na kukuza kipato ambapo hupewa ujira wa shilingi 3000 kwa siku,na  wanafanya kazi siku 10 kwa mwezi na siku 60 kwa mwaka.”


Mkoa wa Dodoma una Kaya 45,865 sawa na 6% ambazo zinanufaika na Mpango wa kusaidia Kaya maskini Nchini (TASAF). Kupitia mfumo wa e-sehemu, walengwa hao hutambuliwa, kusajiliwa na kupatiwa fedha za kujikimu huku wakijiongezea kipato kwa ajira ndogo ndogo ili waweze kuhudumia familia zao katika nyanja za afya, elimu na chakula.



#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SENYAMULE AZINDUA NYUMBA YA MWALIMU YA 02 KWA 01 KONDOA

    July 01, 2025
  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.