• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAWEKEZAJI WA VIWANDA KUTOKA DUBAI WABISHA HODI DODOMA

Imetumwa : May 28th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Ikiwa ni siku moja tu baada ya ziara ya Kidiplomasia (Capital City Diplomatic Tour) iliyowahusisha mabalozi kutoka nchi mbalimbali Duniani Jijini Dodoma,Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amepokea ugeni kutoka nchini Dubai kuzungumzia juu ya upatikanaji wa fursa za uwekezaji wa ardhi  kwa ajili ya kujenga viwanda kwa kuzingatia Dodoma inazidi kukua kutokana na hadhi yake ya Makao Makuu ya nchi na kupokea wageni wengi wa ndani na nje ya nchi.

Wawekezaji hao ambao ni Bw. Emmanuel Salinos na Bw. Walid Jumaa, wamefika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa Jengo la Mkapa Jijini Dodoma Mei 28, 2025 ambapo hii ni mara ya pili kufika hapa kwa ajili ya dhumuni hilo ingawa awali waliona Dodoma haijakua kama ilivyo sasa.

Aidha, lengo hasa la wawekezaji hao ni kutafuta eneo lenye ukubwa wa ekari 1,000 kwa ajili ya kuwekeza na kutengeneza Mji unaofanana na Dubai ambapo wataleta wawekezaji wengine kutoka nchini mwao kwani wanaotaka kutengeneza eneo la uwekezaji wa Viwanda.

Mhe. Senyamule amewakaribisha Dodoma na kuwaambia kuwa ipo kwa ajili yao na pindi watakapokua tayari wakaribie huku akiwaeleza kuhusu ziara ya Mabalozi iliyofanyika Jijini hapa Mei 27, 2025 yenye lengo la kuwavutia kuwekeza.

“Jana tulikua na Mabalozi tukiwaonesha fursa za uwekezaji zinazopatikana hapa, na wameona maendeleo ya Dodoma ambayo hawakuyaona kabla. Kuna mpango wa Balozi zote kuhamia Dodoma kutoka Dar Es Salaam sasa,

Kila tunapowauliza lini mtakuja Dodoma wanasema bado hakuna huduma bora za afya, elimu lakini jana tuliwatembeza kwenye huduma hizo na tuna kauli mbiu ya ‘Dodoma tupo tayari kwa ajili yenu’ wameahidi kuzishawishi Balozi zao kujenga ofisi hapa”. RC Senyamule.


#takedodomatotheworldandbringtheworldtododoma

#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MMUYA AHIMIZA UDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

    May 26, 2025
  • UHAKIKI ANUANI ZA MAKAZI KUANZA MEI 28 DODOMA

    May 26, 2025
  • WAWEKEZAJI WA VIWANDA KUTOKA DUBAI WABISHA HODI DODOMA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI KUTOKA TUME YA MADINI WAMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.