• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SACCOS NI FURSA KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI YA WANAWAKE

Imetumwa : October 11th, 2025

Na. Elizabeth S. Dai- DODOMA.

Dodoma Women Saccos ( DOWOSA) wametoa fursa ya kukuza uchumi wa wanawake wa Mkoa wa Dodoma kwa kutoa Mikopo kwa wanawake waliojiunga na watakaojiunga na ushirika huo.

Hayo yamebainishwa na Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Uchumi na Uzalishaji  Bi Aziza Mumba, alipokutana na wanachama wote wa ‘Dodoma Women SACCOS’ kwenye mkutano wao mkuu wa tatu kwa mwaka 2025 uliofanyika katika hoteli ya Best Western Oktoba 11,2025 Jijini Dodoma.

“SACCOS imelenga kuwainua kiuchumi wanawake wote wa mkoa wa Dodoma hivyo tunaomba wajiunge kwa wingi ili kuinua vyanzo vyao vya mapato pamoja na maendeleo”, amesema Bi. Mumba.

Vilevile Mwenyekiti wa SACCOS  Dodoma amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na Ofisi yake kwa kuwa nao bega kwa bega katika mipango mikakati yote ya kikundi hicho.

Mkutano huo umeambatana na ajenda mbalimbali ambazo zimelenga kukuza uchumi wa wanawake kwa kuwapatia mikopo na elimu juu ya matumizi bora ya mapato yao.


#DodomaFahariYaWatanzania

#NimejiandikishaNitapigaKura

#UmejiandikishaKapigeKura

#KuraYakoHakiYakoJitokezeKupigaKura

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI INA DHAMIRA YA KILA MWANAMKE KUJIKOMBOA KIUCHUMI

    October 09, 2025
  • SACCOS NI FURSA KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI YA WANAWAKE

    October 11, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA

    October 09, 2025
  • KIWANDA CHA MVINYO KUFUFUA MATUMAINI YA WAKULIMA WA ZABIBU DODOMA

    October 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.