• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ACC YATOA VIFAA VYA MILIONI 62 KWA WATOTO WENYE CHANGAMOTO YA AFYA

Imetumwa : September 4th, 2025

Na Sofia Remmi

Habari-Dodoma Rs

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amepokea na kukabidhi  vifaa vya michezo, vya kujifunzia pamoja na vitendea kazi vya watoa huduma za afya ngazi ya Jamii ili viweze kuwafikia walengwa waliopo katika baadhi ya Halmashauri za Mkoa huu.

Hafla hiyo imefanyika leo tarehe 02 Septemba 2025 katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jengo la Mkapa.

Akizungumza na baadhi ya wadau na watoa huduma ngazi ya Jamii amesema Mkoa unashirikiana na Shirika la Action for Community Care (ACC) katika kutekeleza miradi ya Imarisha Afya na ViiV Pediatric Breakthrough Partnership ambayo inalenga kusaidia watoto na vijana wanaoishi na Virusi vya UKIMWI wenye umri wa miaka 0-19. Miradi inawezesha kuwaibua na kuwaunganisha watoto na vijana kwenye matibabu, kuwasaidia kubaki katika huduma na matibabu na kuishi maisha yenye afya.

“Vifaa vya  michezo na vya kujifunzia vinavyopokelewa leo vina umuhimu wa kipekee kwa kuwa  vitawezesha uchangamshi na ukuaji wa ubongo wa watoto na kuwamotisha watoto na vijana kuhudhuria kliniki kwa ajili ya huduma za VVU na kupunguza utoro na kuamasisha watoto dhidi ya kujifunza zitaongeza hamasa kwa wazazi na walezi kuwaleta watoto kwenye vituo vya tiba na matunzo hivyo, wakati wakisubiri huduma watoto na vijana watajifunza baadhi ya mambo badala ya kukaa bila kufanya kitu”Amesema Senyamule.

Miradi hii ililenga pia kuwatambua na kutoa mafunzo kwa Wakunga wa Jadi kwa lengo la kuwaelekeza kuhusu umuhimu wa kuwaelimisha wajawazito kujifungulia katika vituo vya kutolea huduma za afya kwa usalama wao na watoto watakaozaliwa.

Kwa upande wake Meneja wa Miradi Bi.Merina Mgongo amesema  ACC ni shirika lisilo la Kiserikali na linatekeleza shughuli zake katika Halmashauri 04 za Mkoa wa Dodoma Ikiwemo Kongwa,Chamwino,Mpwapwa na Dodoma Mjini.

“ACC inateleza miradi ya Afya,Elimu,Kuboresha vifaa vya michezo Kama Bembea za watoto, mipira ya miguu na mkono, kikapu, kamba za kuruka, midoli, vinanda, runinga na vinginevyokuimarisha katika ngazi ya Jamii,na mazingira”Amesema Mgongo.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WAHIMIZWA KUENDESHA KWA USTADI , KULINDA USALAMA BARABARANI

    September 04, 2025
  • ACC YATOA VIFAA VYA MILIONI 62 KWA WATOTO WENYE CHANGAMOTO YA AFYA

    September 04, 2025
  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUJIFUNZA TEKNOLOJIA NA MIFUMO YA KISASA YA MAGARI

    September 02, 2025
  • TAASISI ZA KITAFITI TIBA ASILI ZASISITIZWA UFANISI WA VIWANGO VYA KIMATAIFA

    August 29, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.