• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YAPONGEZWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA 2023/2024

Imetumwa : June 13th, 2025

Na; Happiness E. Chindiye

Habari - Dodoma RS

Halmashauri ya Jiji la Dodoma imepongezwa kwa kupata hati safi katika ukaguzi wa mwaka 2023/2024 wa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, jambo ambalo  limeipa heshima kubwa Halmashauri hiyo na Mkoa huu kupata hati safi tangu 2027,2018 hadi sasa.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary  S. Senyamule ametoa pongezi hizo Juni13,2025   kwenye mkutano maalum wa Baraza la madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dodoma lililokutana kwa lengo la kujadili ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG ) kwa mwaka 2024/2025.

“ Nitumie nafasi hii kwa upekee kuipongeza Halshamauri ya Jiji la Dodoma kwa kupata hati safi ya ukaguzi wa hesabu za Serikali zinazoishia tarehe 30,Juni, 2024 , ambapo hati hii inafanya Halmashauri hii kuendelea  kupata hati safi tangu 2017,2018 mpaka sasa” - Mhe. Senyamule

 Aidha,kupitia kikao hicho Mhe. Senyamule  ameielekeza  Halmashauri hiyo kufanyia kazi mapungufu yaliyoibuliwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika eneo la  makusanyo ya fedha za mauzo ya viwanja..

Awali akisoma ripoti hiyo ya 'CAG' Afisa kutoka Ofisi  ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali Bw. Karim Mwinyimbegu amesema Halmashauri imepata hati inayoridhisha huku akiweka bayana changamoto kadhaa zilizojitokeza.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • VIJANA RIKA BALEHE 13,218 MKOA WA DODOMA WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AHADI

    July 23, 2025
  • MAAMBUKI YA UGONJWA WA HOMA YA INI ‘B’ YAFIKA 3.5% KITAIFA

    July 24, 2025
  • DODOMA NBC MARATHON YALENGA KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO

    July 24, 2025
  • NGO’s DODOMA ZATAKIWA KUWAJIBIKA KWA SHERIA NA TARATIBU

    July 23, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.