• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MZUMBE MBIONI KUANZA KAMPASI DODOMA

Imetumwa : July 14th, 2025

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha amesema Mzumbe iko mbioni kuanzisha Kampasi Mkoani Dodoma.

Prof. Mwegoha ameyasema hayo tarehe 14 Julai 2025 mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule.

Amesema Chuo kimedhamiria kusogeza huduma kwa jamii hususan Makao Makuu ya Nchi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Chuo hicho.

Akizungumza na sehemu ya Menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe , Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema Mkoa wa Dodoma ni mkoa wa kimkakati na ni makao Makuu ya Serikali hivyo kuna wadau wengi sana na ametoa rai kwa Menejimenti kuanzisha kampasi mapema ili kuendana na mahitaji halisi ya mkoa kwa sasa.

"Dodoma inakuwa kwa kasi kubwa na Mzumbe mnafahamika na mmejitanabaisha katika Menejimenti hivyo oneni uwezekano wa kuanzisha kozi za kimkatati kwa kuzingatia mpango wa muda mfupi na muda mrefu" Amesisitiza Mhe. Senyamule

Katika ziara hiyo ya siku moja Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha pamoja na ujumbe wake pia amepata fursa ya kukutana na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Dkt. Frederick Sagamiko na kumhahikishia mipango ya Serikali katika uanzishwaji wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dodoma.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI IMEJIPANGA KUHAKIKISHA WAFANYABIASHARA WANAKUWA NA MAZINGIRA RAFIKI

    July 14, 2025
  • MZUMBE MBIONI KUANZA KAMPASI DODOMA

    July 14, 2025
  • AMANI YA NCHI YATAJWA KUWA AJENDA YA VIONGOZI WA SERIKALI NA WADINI

    July 13, 2025
  • DODOMA KUONDOKANA NA UKAME KUTOKANA NA UWEKEZAJI KATIKA MIRADI MIKUBWA YA UMWAGILIAJI

    July 13, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.