• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI IMEJIPANGA KUHAKIKISHA WAFANYABIASHARA WANAKUWA NA MAZINGIRA RAFIKI

Imetumwa : July 14th, 2025

Na;Happiness Elias Chindiye

      Habari - Dodoma RS

Serikali imejipanga kuhakikisha wafanyabiashara wanakuwa na mazingira rafiki yakufanyia kazi kwa kutatua changamoto walizonazo na kuwa huru kutoa mawazo yahusuyo sekta yao.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule wakati wa kikao cha Baraza la Biashara la  Mkoa kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi yake,Jengo la Mkapa Jijini Dodoma.

Mhe.Senyamule ametumia jukwaa hilo kutoa wito kwa wafanyabishara kutumia fursa zinazotangazwa ndani la Jiji la Dodoma ili kuwa wanufaika wa kwanza.

“Nitoe wito kwenu kutumia fursa zinazotangazwa ili kuwa wafaidika wa kwanza wa fursa hizo “ - amesisitiza Mhe. Senyamule

Aidha, kikao hicho kimeazimia TARURA NA TANROADS kuweka mpango wa muda mrefu na mfupi wa kuongeza taa eneo la Mbande na Kibaigwa, Halmashauri ya Jiji la Dodoma iongeze maeneo ya kutoa huduma za biashara kwa muda wa saa 24,Halmashauri zote na SIDO ziweke mpango madhubuti wa kuhamasisha wananchi juu ya upatikanaji wa mikopo yenye riba nafuu.

Pia, TANROAD’S na TARURA kuboresha miundombinu ya barabara ya Zuzu kwa kuzingatia uboreshaji wa  mazingira ya  uwekezaji, Halmashauri zishirikishe sekta binafsi kwenye miradi  (PPP), Halmashauri zote zihamasishe usajili wa wafanyabiashara wadogo wadogo kwa ajili ya uboreshaji wa takwimu pamoja na TARURA na DUWASA kufanya ukaguzi wa mara kwa mara katika miundombinu ya mitaro, madaraja na bomba za maji safi na maji taka kuhakikisha yanafanyiwa ukarabati huku taasisi zote zinazotoa huduma kwa wafanyabiashara  zipatikane katika ‘one stop center’.

#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI IMEJIPANGA KUHAKIKISHA WAFANYABIASHARA WANAKUWA NA MAZINGIRA RAFIKI

    July 14, 2025
  • MZUMBE MBIONI KUANZA KAMPASI DODOMA

    July 14, 2025
  • AMANI YA NCHI YATAJWA KUWA AJENDA YA VIONGOZI WA SERIKALI NA WADINI

    July 13, 2025
  • DODOMA KUONDOKANA NA UKAME KUTOKANA NA UWEKEZAJI KATIKA MIRADI MIKUBWA YA UMWAGILIAJI

    July 13, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.