• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAHITIMU WA IFM DODOMA WATAKIWA KUJIPAMBANUA KIMAADILI NA SIYO TU KWA UJUZI NA UTAALAMU

Imetumwa : December 14th, 2024

Na; Happiness E. Chindiye

Habari - Dodoma RS

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule amewataka wahitimu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kujipambanua siyo tu kwa  ujuzi na utaalamu bali kwa kuzingatia  maadili yanayoendana na ujuzi huo.

Mhe. Senyamule ameyasema hayo tarehe 14 Desemba, 2024 katika Mahafali ya 50 ya Chuo hicho, yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya St. Gasper Jijini Dodoma.

“Wahitimu mliomaliza leo, niendelee kuwaasa kuwa huko mnakokwenda katika fani zenu, umahiri huo unajulikana ndani na nje ya Nchi, tuwaone mkijipambanua kama wanafunzi mliotoka IFM mliosomea masuala ya Kibenki, bima , fedha siyo tu kwa ujuzi na utaalamu bali pamoja na maadili yanayoendana na ujuzi huo” Mhe. Senyamule


Naye Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Chuo cha Usimamizi wa Fedha ( IFM) Prof. Emmanuel Mjema  amesema Chuo hicho kinatekeleza malengo na majukumu mbalimbali yakiwemo kuweka mazingira ya kujifunza na kuzijua kanuni , taratibu na mbinu za uendeshaji wa benki, bima,usimamizi wa fedha ,kutoa mafunzo katika fani za benki,bima ,uzimamizi wa fedha , kutoa mitihani na tuzo za cheti, kudhamini na kuandaa mazingira ya kufanya mikutano na semina pamoja na kuandaa machapisho na kusambaza majarida mbalimbali kulingana na kazi na shughuli za Chuo.


&&&


#dodomafahariyawatanzania

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • KAMPUNI YA "CAVO'' YA CHINA YATAFUTA FURSA ZA UWEKEZAJI DODOMA

    May 05, 2025
  • TAWLA - SAUTI YA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKOSA ULINZI WA KISHERIA KATIKA JAMII

    May 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.