Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana ametangaza mkakati wa kushirikisha JKT na Magereza kuimarisha kilimo na uzalishaji wa chakula ili kuondoa tatizo la upungufu, lakini pia kuwatumia vijana wa JKT kwenye fursa za ajira kwenye miradi mikubwa kama Bomba la mafuta la kutoka Uganda hadi Tanga
Apiga marufuku michango holela na kuamuru fedha zilizochangishwa kurudishwa kwa wazazi
UWANJA WA NANE NANE KUTENGWA ENEO LA UJENZI VIWANDA PIA HALMASHAURI ZA WILAYA ZOTE MKOA WA DODOMA KUTENGA MAENEO YA UJENZI WA VIWANDA
Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.