• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DODOMA NBC MARATHON YALENGA KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO

Imetumwa : July 24th, 2025

Na Sofia Remmi.

Habari-Dodoma Rs.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma  Mhe.Jabir Shekimweri amewapongeza Benki ya NBC kwa kutambua na kuunga mkono Jitihada ya Mhe.Rais.

Mhe. Shekimweri ametoa pongezi hizo leo Julai 24, 2025 wakati wa hafla ya  ugawaji wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma,  uliofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,Jengo la Mkapa.

Akizungumza katika Hafla hiyo Mhe.Shekimweri amesema kuwa mara ya sita NBC wamekuwa wakifanya Marathon katika Mkoa wa Dodoma.

Amesema mwaka 2025 Marathon imelenga kuokoa maisha ya mama na watoto na kufanya Mbio hizo kuwa za Kimataifa zaidi kwasababu Mataifa Mbalimbali yanakuja kushiriki .

"Niwapongeze kwani Mbio hizo zimeunganishwa na ajenda za Kitaifa katika kuunga Mkono Jitihada za Mhe.Rais masuala ya Afya katika kuongeza zaidi bajeti ya afya na ununuzi wa Dawa  kwa upande wa NBC Mmeunga Mkono katika masuala mazima ya usonji na kansa ya shingo ya kizazi”

“Aidha Mkurugenzi wa wateja wakubwa  benki ya NBC Bw.Elvis Ndunguru amesema NBC Marathon imeamua kuchangia pikipiki 10 zenye thamani ya shilingi Milioni 28 kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma.

Amesema NBC marathon imesaidia kuchangia mchango wa Mama na Mtoto kwa kupima saratani ya shingo ya Kizazi,kutoa elimu kwa wakunga katika hospitali na kupambana na ugonjwa wa usonji.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • VIJANA RIKA BALEHE 13,218 MKOA WA DODOMA WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AHADI

    July 23, 2025
  • MAAMBUKI YA UGONJWA WA HOMA YA INI ‘B’ YAFIKA 3.5% KITAIFA

    July 24, 2025
  • DODOMA NBC MARATHON YALENGA KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO

    July 24, 2025
  • NGO’s DODOMA ZATAKIWA KUWAJIBIKA KWA SHERIA NA TARATIBU

    July 23, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.