• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HOSPITAL YA BENJAMIN MKAPA YAADHIMISHA MIAKA 10 YA MAFANIKIO

Imetumwa : October 13th, 2025

Na Elizabeth S. Dai – Dodoma

Hospitali ya Benjamin Mkapa imejivunia miaka  miaka 10 ya mafanikio tangu ilipozinduliwa rasmi mnamo Oktoba 13, 2015, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne chini ya uongozi wa Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Akizungumza kwenye uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 10 katika Viwanja vya Nyerere Square, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary S. Senyamule, amesema:

“Katika kipindi cha miaka 10 tumeshuhudia maboresho makubwa katika huduma za kibingwa na kibobezi. Hadi sasa, hospitali inatoa huduma zaidi ya 17 za ubingwa wa juu na huduma 20 za kawaida.”

Mhe. Senyamule ameahidi kushirikiana kwa karibu na hospitali kuhakikisha inazidi kuwa mfano wa kuigwa kwa utoaji wa huduma bora za afya si tu mkoani Dodoma, bali taifa kwa ujumla.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma pia aliipongeza hospitali hiyo kwa huduma nzuri za kiafya na kuhimiza ushirikiano katika kuanzisha mpango wa ‘Medical Tour’.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Prof. Abel Makubi, amesema hospitali imehudumia zaidi ya wagonjwa milioni 1.6 katika kipindi cha miaka 10 na kwa sasa ina uwezo wa kuhudumia wagonjwa zaidi ya elfu moja kwa siku.

Maadhimisho hayo pia yaliambatana na utoaji wa vyeti vya pongezi kwa watumishi waliotambuliwa kwa kazi bora pamoja na huduma bure za kiafya kwa wananchi wote mpaka tarehe Oktoba 17, 2025.


#nimejiandikishanitapigakura

#UmejiandikishaKapigekura

#KuraYakoHakiYakoJitokezeKupigaKura

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HOSPITAL YA BENJAMIN MKAPA YAADHIMISHA MIAKA 10 YA MAFANIKIO

    October 13, 2025
  • SERIKALI INA DHAMIRA YA KILA MWANAMKE KUJIKOMBOA KIUCHUMI

    October 09, 2025
  • SACCOS NI FURSA KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI YA WANAWAKE

    October 11, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA

    October 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.