• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA LISHE MKOA YAJADILI UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE KWA ROBO YA TATU 2025

Imetumwa : June 24th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Kamati ya Lishe Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya, Juni 21, 2025 imekutana katika kikao cha kujadili utekelezaji wa viashiria vya Mkataba wa Lishe kwa robo ya tatu (Januari – Machi, 2025) kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kikihusisha Kamati ya lishe na Wadau wanaosaidia utekelezaji wa afua za Lishe.

Kikao hicho kilijadili mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na wasilisho la taarifa ya utekelezaji wa Viashiria vya Mkataba wa Lishe sambamba na taarifa za utekelezaji wa afua za Lishe kwa kipindi cha Januari – Machi 2025 kutoka kwa Wadau wanaotekeleza afua hizo ambao ni ‘Action Against Hunger’ na ‘Counsenuth’.

Mdau ‘Action against hunger’ alitoa muelekeo wake kuhusu utekelezaji wa afua za lishe ambao ni kutoa mafunzo ya usimamizi wa bidhaa za lishe kwa wasimamizi wa ugavi na wale wa vituo vya afya ili kuboresha ufanisi wa utoaji wa huduma za lishe.

Kadhalika Mdau ‘Counsenuth’, alitaja moja ya mafanikio ya Mradi wa Lishe Kijinsia unaotekelezwa Wilayani Chemba kuwa ni kujenga majiko banifu 150 ya kupikia yaliyoboreshwa ambayo hupunguza hewa chafu na moshi ndani ya nyumba, kuokoa matumizi makubwa ya mkaa/kuni na ukataji miti pia kumuwezesha Mama kuwa karibu na Mtoto.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.