• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

Imetumwa : May 6th, 2025

Na. Sizah Kangalawe 

       Habari - Dodoma RS

Wataalamu wa mazingira Wilaya za Mkoa wa Dodoma, wamepongezwa kwa juhudi mbalimbali wanazofanya katika kuhakikisha Usafi, ubora na utunzaji wa mazingira unadumishwa na kuendelezwa Mkoani hapa.

Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya, wakati akifungua kikao kazi cha mapitio ya mpango kazi wa mazingira wa kila Halmashauri, kilichofanyika Mei 6,2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jengo la Mkapa.

‘’Naendelea kuwapongeza wataalamu wote wa Mazingira kutoka katika Halmashauri zetu, ninafahamu kazi nyingi mnazofanya katika kusimamia mazingira. Siwezi kuainisha moja moja najua mna mambo mengi ambayo mnayafanya  kudhibiti uchafuzi wa mazingira ambao unaweza kuathiri udongo, vyanzo vya maji, na hewa.

Aidha Mmuya amewahamasisha Maafisa hao kuendelea kutoa Elimu juu ya utunzaji wa mazingira pamoja namna sahihi ya kutenganisha taka kwa aina zake.

‘’Sasa hiyo yote ni katika kutoa Elimu, tusafishe mazingira yetu na tuwe na uwezo wa kutenga taka, na tuwe na  uwezo wa kuzidhibiti vizuri. Kwahiyo ninawashukuru sana kuwa nyie ndio  wasimamizi wa kitaalam katika Halmashauri zetu".

Kikao hicho kinafanyika kwa usimamizi wa Maafisa viungo wa Mkoa wa Dodoma kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na kinawajumuisha Maafisa mazingira, Maafisa Maliasili wa Wilaya, pamoja na Maafisa mazingira na  Afisa Afya wa Mkoa.


                   ####


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • DODOMA YADHAMIRIA KUJIKITA KWENYE KILIMO CHA MATUFAHA (APPLES) KUINUA UCHUMI

    May 08, 2025
  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.