• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MMUYA AHIMIZA UDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

Imetumwa : May 26th, 2025

Na. Sizah Kangalawe

 Habari -Dodoma RS

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya Mapema Mei 26/2025, amepokea taarifa ya awali ya kazi ya utafiti uliofanyika kwenye Mkoa wa Dodoma kati ya Februari 17 – Mei 11/ 2023  katika Halmashauri za Bahi, Chamwino na Mpwapwa.

Utafiti huo umefanyika kwa ushirikiano wa  Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), OR- TAMISEMI, Wizara ya Afya na Taasisi ya Ifakara Health Institute ikiwa ni kutekeleza utafiti wa kufuatilia ugonjwa wa Malaria Tanzania bara kwa kutumia mbinu za vinasaba.

Akizungumza katika hafla hiyo  Mmuya amewataka waatalamu hao kuhakikisha wanatokomeza kabisa vifo vya  mama wajawazito na watoto walio chini ya Umri wa miaka 5.

‘’Muangalie sana eneo la watoto wadogo chini ya miaka 5, Mimi nazungumza kwasababu nina ‘Interest', nyie wote mnafahamu Mhe. Rais anavyopambana na vifo vya akina mama na watoto,. ndio maana yake kuwa ni lazima tuwalinde hawa, katika utafiti wetu tuangalie kama tunaweza kuwalinda akina mama wajawazito aidha wakipata au wasipate Malaria ni kitu gani tukifanye hawa wawe salama pamoja na watoto waliowabeba’’, amesema Mmuya

Kwa upande wake Mratibu wa Utafiti huo Prof. Deusdedith Ishengoma amesema wamepanga kufanya tafiti katika zahanati 3 zilizopo Mkoani Dodoma, kufanya mafunzo wezeshi vituoni, pia ameweka bayana kuwa wanatarajia kukamilisha zoezi la utafiti huo ndani ya miezi 2- 3.

Waliofika kuwasilisha utafiti huo ni  Prof.Deusdedith Ishengoma, CPA Obedi Olekaondo  na Bi Priscilla Mlay kutoka taasisi ya Ifakara Health Institute (ihi)

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MMUYA AHIMIZA UDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

    May 26, 2025
  • UHAKIKI ANUANI ZA MAKAZI KUANZA MEI 28 DODOMA

    May 26, 2025
  • WAWEKEZAJI WA VIWANDA KUTOKA DUBAI WABISHA HODI DODOMA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI KUTOKA TUME YA MADINI WAMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.