• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MRADI WA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIFAFA WAZINDULIWA DODOMA

Imetumwa : May 8th, 2025

Na; Happiness E. Chindiye

   Habari - Dodoma RS

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya Mei 08,2025 amezindua mradi wa kuimarisha huduma za kifafa Tanzania (Enhancing Epilepsy Care Africa (EECA) ngazi ya Mkoa huu ambao utaenda kutekelezwa katika Wilaya za Chamwino na Bahi.

Uzinduzi wa mradi huo  uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa unalenga  kuanzisha mfumo endelevu wa huduma jumuishi kwa watu wanaoishi na kifafa Nchini.

Bw.Mmuya akizungumza na hadhira hiyo ametoa wito kwa Jamii  kutowanyanyapaa Watu Wenye Kifafa kwa kuhakikisha wanapata stahiki zote za msingi kama watu wengine.

“ Kuanzia watoa huduma wasiwanyanyapae kadhalika kwenye Jamii watu wenye kifafa wapate haki zote za msingi kusoma, kupata ajira na huduma zote za kiafya” - Amesema Bw. Mmuya

Naye Meneja wa Mradi (EECA) Mradi wa kuimarisha Afya za Kifafa Dodoma Dkt. Dan Bhwana akizungumza wakati wa utambulisho wa mradi huo amesema utaendeshwa ndani ya mfumo wa huduma ya afya ya msingi ili kuhakikisha kuwa huduma hizi zitakuwa  endelevu na kumilikiwa  na jamii husika.

“Mradi huu unalenga kuongeza uelewa wa jamii kuhusu kifafa na kuvunja ukimya unaozunguka hali hii. kupitia  kampeni za kupinga unyanyapaa na shughuli za kinga, tunatarajia kupunguza visa vipya vya kifafa na kuboresha maisha ya watu wanaoishi na hali hii,” amesema Dkt. Bhwana

Kampeni maalum za kuondoa unyanyapaa zitafanyika katika Wilaya za Bahi na Chamwino, sambamba na juhudi za kijamii za kuelimisha jamii kuhusu kifafa na kuboresha mapokezi ya huduma kwa kushirikiana na Wizara ya afya Magonjwa yasiyoambukizwa (NCDs),  Ofisi ya Raisi Tamisemi na Pamoja na wadau wengine wa afya.


&&&


#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

#wekezadodomastawishadodoma

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI HODARI 2025 KUTOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAPONGEZWA

    May 09, 2025
  • MRADI WA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIFAFA WAZINDULIWA DODOMA

    May 08, 2025
  • UBALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA WAADHIMISHA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA NCHINI

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.