• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

Imetumwa : June 28th, 2025

Na. Hellen M. Minja

  Habari – DODOMA RS

Matumizi ya mbolea katika kuongeza tija na mnyororo wa thamani kwenye kilimo yametajwa kuwa ni jambo la msingi na linalopaswa kuzingatiwa ili kuimarisha shughuli za kilimo ili kukidhi ongezeko la watu ifikapo mwaka 2050.

Hayo yamebainishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokua akizindua rasmi kiwanda cha mbolea cha Itracom kilichopo Nala Jijini Dodoma Juni 28, 2025.

“Upatikanaji wa uhakika wa chakula Barani Afrika, ni jambo muhimu ili kuendana na ongezeko la watu tunao watarajia. Kutokana na hilo, uimarishaji wa shughuli za kilimo ikiwemo matumizi ya mbolea katika kuongeza tija na uzalishaji ni jambo la msingi linalopaswa kuzingatiwa kuanzia sasa”.

Aidha Rais wa Burundi Mhe. Evarist Ndaishimiye ambaye ameshiriki uzinduzi huo, amesema upatikanaji wa mbolea ya kutosha na kwa bei nafuu ni jambo la msingi katika kuongeza uzalishaji wa mazao kwa wakulima hivyo, uwepo wa kiwanda hicho umepunguza kwa kaisi kikubwa gharama ya mbolea kutoka nje na kimeimarisha usalama wa chakula.

Hata hivyo, Waziri mwenye dhamana ya Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amesema Serikali inatumia shilingi Bilioni 700 kuwapa Wakulima Ruzuku ya mbolea ambayo imesababisha nchi kutoka kwenye matumizi ya tani 360,000 za mbolea miaka minne iliyopita mpaka tani 860,000 katika msimu wa kilimo uliopita mwaka 2024.

Kadhalika, Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Itracom Bw. Nduwimana Nazaire, amesema kuwa kiwanda chake kina uwezo wa kuzalisha Tani Milioni 1 za mbolea kwa mwaka zenye sifa ya kuboresha afya ya udongo sambamba na kuongeza mavuno kwa wakulima pia husambazwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Nae, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akitoa salam za Mkoa, ameishukuru Serikali kwa kuwekeza miradi mikubwa inayoendelea kuwavutia wawekezaji pia akatoa takwimu ya viwanda vilivyopo Mkoani hapa.

“Sisi Mkoa wa Dodoma tunavyo viwanda vikubwa 12, vya kati 24 na vidogo 3,091 lakini tupo tayari na tunawakaribisha Wawekezaji wengine waje kuwekeza katika Mkoa wa Dodoma.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.