• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TBL KUJENGA KIWANDA KIPYA CHA BIA MKOANI DODOMA

Imetumwa : March 19th, 2018

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) inatarajia kujenga kiwanda kingine cha kuzalisha bia Mkoani Dodoma Makao Makuu ya Nchi ambapo Dola za Marekani Milioni 100 zimetengwa kufanikisha uwekezaji huo.

Hayo yamebainika mapema wiki hii wakati wa mazungumzo baina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Kanda ya Afrika wa Kampuni ya vinywaji ya AB-INBEV inayomiliki asilimia 57.5 ya hisa za kampuni ya bia Tanzania (TBL) Bw. Ricardo Tadeu yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Bw. Ricardo amethibitisha kuwa uwekezaji wa kiwanda hiko kipya Mkoani Dodoma unakuja kufuatia kuendelea kukua kwa uzalishaji wa TBL kuanzia mwaka 2015 hadi sasa.

“Uwekezaji wa Kiwanda hiko kipya mkoani Dodoma utaongeza ajira kupitia kwa wakulima wanaozalisha mazao ya ngano, Mtama na Mahindi ambayo hutumika kutengenezea vinywaji” alibainisha Bw. Recardo.

Kwa upande wake Rais Magufuli amemhakikishia Bw. Recardo Tadeu kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na TBL na amempongeza kwa uamuzi wake wa kujenga kiwanda cha kuzalisha bia Mkoani Dodoma kitakachoungana na viwanda vingine vilivyopo Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza na Arusha.

Mhe. Rais Magufuli ameongeza kuwa Serikali inachukua hatua madhubuti kuvilinda viwanda vya bia na ametoa wito kwa kampuni hiyo na wawekezaji wengine kuendelea kuwekeza hapa nchini kutokana na uwepo wa fursa kubwa ya soko la ndani, Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SENYAMULE AFUNGUA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA NYUKI DUNIANI

    May 18, 2025
  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.