• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UONGOZI WA EWF OFISINI KWA KATIBU TAWALA WA MKOA WA DODOMA

Imetumwa : September 20th, 2023

Uongozi wa Taasisi inayojitegemea ya Ealvine Walingozi Foundation (EWF) ukiongozwa na Mwenyekiti wao Bi. Caroline A. Sanga, leo Septemba 20 umemtembelea Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Gugu kwenye Ofisi yake iliyopo jengo la Mkapa na kufanya mazungumzo kuhusu hafla yao waliyoiandaa kwa lengo la kuwakutanisha watoto yatima na wenye ulemavu waishio Mikoa wa Dodoma na Manyara itakayofanyika tarehe 5 Desemba 2023 kwenye ukumbi wa Mabeyo huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb.)

Shughuli hiyo itaambatana na mada mbalimbali kutoka kwa wataalamu kama vile Madaktari

na wanasaikolojia kwa dhumuni la kuwaonyesha walengwa kuwa nao ni jamii muhimu kama walivyo binadamu wengine. Pia msisitizo utatolewa kuwa wazazi wote waliowazunguka ni wazazi wa jamii nzima na wapo kwa ajili yao licha ya kutokuwa wazazi wa kibaiolojia.

Mratibu wa hafla hiyo Bi. Emmiliana M. Nkuu, ametoa rai kwa taasisi mbalimbali, viongozi wa kisiasa, Serikali na kidini kushiriki pamoja kwani kutakua na chakula cha pamoja na zawadi kama vile vifaa vya shule kwa watoto, tuzo pia zitatolewa kwa watu wanaochangia jamii hizi katika Taifa letu.

Amesema baadhi ya watoa burudani watakaopamba shughuli hiyo ni kikundi cha JKT Makutupora, mwanamuziki Jose Mara, mchekeshaji maarifu nchini Elliud pamoja na mshereheshaji wa hafla hio anatarajiwa kuwa mtangazaji wa Clouds Media Group Bi. Gea Habibu.

MWISHO

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAS MMUYA AWAAHIDI ZAWADI NONO WANAMICHEZO - UMITASHUMTA

    June 17, 2025
  • WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WATAKIWA KUTOA MAJIBU SAHIHI YA VIPIMO KWA WAGONJWA

    June 17, 2025
  • TAASISI ZA UMMA ZATAKIWA KUJIUNGA NA MFUMO KURAHISISHA HUDUMA KWA WANANCHI

    June 17, 2025
  • DODOMA MOTO MKALI MASHINDANO UMITASHUMTA

    June 14, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.