• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WALIMU NGAZI YA AWALI NA MSINGI WAPEWA MAFUNZO YA ELIMU JUMUISHI

Imetumwa : June 18th, 2025

Na:Sofia Remmi.

Habari:Dodoma Rs

Walimu ngazi ya awali na msingi Jijini Dodoma wamepatiwa mafunzo yanayolenga kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalum.

Afisa Elimu kata ya Ng’ong’ona ambae pia ni Mwezeshaji wa Mafunzo ya Elimu Jumuishi Mwl.Prosper Paskari ameleza juu ya mafunzo hayo kuwa na umuhimu kwa walimu ili kuwawezesha kuongeza uelewa juu ya namna ya kutoa huduma kwa Watoto wenye mahitaji maalumu.

Mafunzo hayo yamefanyika leo tarehe 18 Juni 2025 katika shule ya awali na msingi Mtemi Mazengo Jijini Dodoma.

Akizungumza wakati wa mahojiano, Mwl.Pascal amesema lengo la Mafunzo hayo ni kupata maarifa ya kuweza kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalumu.

“Siku ya leo walimu wamepewa mafunzo na kujua nini maana ya Elimu Jumuishi,suala la ulemavu na kuweza kubainisha kati ya Mlemavu wa Akili na wanafunzi wenye Mahitaji Maalumu na kuweza kubainisha makundi mbalimbali”.

“Mwalimu anapokuwa shuleni katika hatua za mwanzo kabisa anatakiwa awafanyie nini watoto na watatumia Mbinu gani za kuwabainisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu na kujifunza mbinu mbalimbali za kufanya uchunguzi juu ya watoto hao” Amesema Pascal.

Kwa upande wake Mwl.Happiness Baltazal Minja kutoka Shule ya Msingi Iyumbu iliyopo kata ya Iyumbu amesema Mafunzo hayo yameweza kunufaisha utendaji kazi zaidi mara baada ya kurudi katika majukumu yake kwa kutambua watoto wenye mahitaji maalumu na kuweza kuwasaidia kuendana na mazingira.

Mafunzo hayo ya siku mbili yalioanza leo,yatahitimishwa  kesho.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.