• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WALIMU WA MICHEZO WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MKOANI DODOMA WAPIGWA MSASA

Imetumwa : April 12th, 2022

Mkurugenzi wa Michezo kutoka OR – TAMISEMI Ndugu Leonard Thadei  akizindua mafunzo kwa walimu wa michezo wa shule za Msingi na Sekondari za Jijini Dodoma yanayofanyika katika Shule ya Sekondari ya Dodoma.

Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw. Justine Machela akitoa neno kwa walimu wa michezo wa Mkoa wa Dodoma wakati wa uzinduzi wa Mafunzo ya kuwapatia ujuzi walimu hao ili waweze kuwanoa wanafunzi kimichezo kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA ya mwaka huu.

Baadhi ya walimu wa michezo kutoka shule mbali mbali za Msingi na Sekondari  Mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukamilika kwa uzinduzi wa Mafunzo ya kuwapatia ujuzi wa kufundisha michezo kwa wanafunzi.

HABARI KAMILI

Mkoa wa Dodoma umezindua mafunzo maalumu kwa walimu wa Michezo wa shule za Msingi na Sekondari za Mkoa wakati huu wa kuelekea kwenye mashindano ya Kitaifa ya michezo kwa Shule za Msingi (UMITASHUMTA) na shule za Sekondari (UMISETA) yanayotarajiwa kufanyika mwezi Agosti mwaka huu Mkoani Tabora.

Uzinduzi wa mafunzo hayo umefanywa Aprili 12, 2022 na Bwana Leonard Thadei, Mkurugenzi wa michezo OR-TAMISEMI kwenye viwanja vya shule ya sekondari ya Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku Tatu (3) na yatahitimishwa Aprili 14, 2022.

Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw. Justine Machela alisema kuwa, Mkoa umeamua kuendesha mafunzo hayo kwa walimu wa michezo kufuatia changamoto kadhaa zilizojitokeza kwenye mashindano ya UMISETA na UMITASHUMTA ya mwaka jana 2021, yaliyofanyika huko Mkoani Mtwara ambapo Mkoa wa Dodoma haukufanya vizuri kiasi cha kuridhisha na hivyo Kamati ya michezo kimkoa ikaona umuhimu wa kuandaa mafunzo haya maalum .

Mafunzo haya yanashirikisha walimu wa michezo 96 kutoka shule za msingi na sekondari Mkoa wa Dodoma pamoja na wakufunzi 12 wa Michezo mbali mbali kama vile mpira wa miguu, riadha, mpira wa pete, mpira wa kikapu na mingine mingi, lengo likiwa Mkoa wa Dodoma kuibuka mshindi kwenye mashindano ya mwaka huu.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAS MMUYA AWAAHIDI ZAWADI NONO WANAMICHEZO - UMITASHUMTA

    June 17, 2025
  • WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WATAKIWA KUTOA MAJIBU SAHIHI YA VIPIMO KWA WAGONJWA

    June 17, 2025
  • TAASISI ZA UMMA ZATAKIWA KUJIUNGA NA MFUMO KURAHISISHA HUDUMA KWA WANANCHI

    June 17, 2025
  • DODOMA MOTO MKALI MASHINDANO UMITASHUMTA

    June 14, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.