• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WATAALAMU WA ELIMU NGAZI YA HALMASHAURI WANADHAMANA YA KULETA TIJA KWA TAIFA

Imetumwa : June 4th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Wataalamu wa Elimu ngazi ya Halmashauri, wametajwa kupewa dhamana kubwa na Serikali katika kutumia ujuzi na maarifa waliyonayo ili yalete tija kwa Taifa, kutokana na uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye elimu.

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya, ameyasema hayo Juni 04, 2025 alipofungua kikao cha Maafisa Elimu Msingi na Sekondari kutoka Halmashauri za Mkoa wa Dodoma kilicholenga kufanya tathmini ya maandalizi ya Mashindano ya Michezo kwa Shule za Msingi (UMITASHUMTA) na shule za Sekondari (UMISSETA) ngazi ya Mkoa na Taifa sambamba na mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha tano 2025.

“Tumetoa elimu kwa sababu ya kukupa maarifa ambayo yamekujengea ujuzi ili utoe tija kwa Taifa letu, ndio maana tunawekeza kwenye elimu. Dhamana hii tumepewa sisi, sisi ni Maafisa ambao tunasimamia sekta ya elimu kwenye ngazi ya Halmashauri ambayo kimsingi ndio Wataalamu wakuu katika ngazi ya Halmashauri”.

Aidha, Katibu Tawala Msaidizi Seksheni ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mkoa wa Dodoma Mwl. Vicent Kayombo amesema mbali na ajenda hizo pia kikao hicho kitafanya tathmini ya mwenendo wa hali ya Taaluma ndani ya Mkoa baada ya ufanyaji wa kazi kwa kipindi cha miezi sita na kufanya majaribio ya mitihani mbalimbali ya upimaji.

Hata hivyo, Mwl. Kayombo ameongeza kuwa kikao hicho pia kitafanya tathmini ya mwenendo wa usimamizi na utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya shule hasa Mabweni na Madarasa kwenye shule zinazotarajia kupokea wanafunzi wa Kidato cha tano 2025.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SENYAMULE APUNGUZA KERO ZA ARDHI KWA KIWANGO KIKUBWA MKOA WA DODOMA

    August 29, 2025
  • VIKUNDI 308 KUNEEMEKA NA BILIONI 3.6 ZA MIKOPO YA 10% DODOMA

    August 28, 2025
  • WATUMISHI WAASWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA KAZI

    August 26, 2025
  • MRADI WA ‘KOFFI’ WATOA DOLA BILIONI 2.455 KUBORESHA HUDUMA ZA UZAZI NA MTOTO DODOMA

    August 21, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.