• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DHAMIRA YA MHE.RAIS , WATANZANIA KUPATA HUDUMA YATIMIA KWA MKOA WA DODOMA

Imetumwa : May 22nd, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuona Viongozi wa Wilaya wanawatumikia Watanzania kwa dhati, bila vikwazo, imetimia leo Mei 21, 2025 kwa Mkoa wa Dodoma kukamilisha magari ya Wakuu wa Wilaya zote saba, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Dodoma amekabidhiwa gari mpya.

Makabidhiano hayo yamefanyika nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na baada ya makabidhiano hayo, Mkuu wa Mkoa Mhe. Rosemary Senyamule akapata wasaa wa kuzungumza machache juu ya dhamira ya Mhe. Rais.

“Wakuu wa Wilaya zote saba za Mkoa wa Dodoma wamekamilika kupata magari ndani ya huu mwaka mmoja wa fedha (2024/2025). Tunajua jambo hili ni dhamira yake ya dhati kuona Viongozi hawa wanawatumikia Watanzania kwa dhati kabisa, bila kikwazo cha kuwafikia vijijini, milimani, mabondeni, magari haya yanafika”.

Kwa upande wake Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya, amemtaka Dereva wa gari hilo kulitunza na kufuata sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani, kwa kuzingatia mafunzo yaliyotolewa hivi karibuni kwa madereva wa magari ya Serikali.

“Haya ambayo utakwenda kuyafanya ni matokeo ya mafunzo haya, nakukumbusha tu kulinda usalama wako na mali ya Umma, na usiwe mfano bora wa kuvunja sheria za barabarani. Matumizi ya ving’ora na taa za vimulimuli yamekatazwa, kwa hiyo ukisimamishwa na Polisi,simama, msikilize kisha songa mbele, usimkatalie Polisi kutimiza wajibu wake hata kama hakuna kosa”.

Mnamo Mei 17, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma  SACP George Katabazi, aliitisha kikao maalumu kwa Madereva wa Magari ya Serikali kilichokwenda sambamba na mafunzo yaliyotolewa juu ya kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani kutokana na malalamiko yanayoelekezwa kwa Madereva hao juu ya uvunjifu wa sheria za barabarani.



#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MMUYA AHIMIZA UDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

    May 26, 2025
  • UHAKIKI ANUANI ZA MAKAZI KUANZA MEI 28 DODOMA

    May 26, 2025
  • WAWEKEZAJI WA VIWANDA KUTOKA DUBAI WABISHA HODI DODOMA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI KUTOKA TUME YA MADINI WAMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.